Sunday, October 7, 2012

Matunda (Nsalati/Nsisai) a.k.a Smelly - berry,Vitex mombassae


Ni tunda pendwa ambalo lina harufu fulani nzuri. Watafiti wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine(SUA) walikuta kuwa tunda hili lina Vitamin C. na viini lishe vingine muhimu mwilini.

2 comments: